Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja akishiriki katika dua na maombi ya kuliombea Taifa kuelekea Miaka 60 ya Muungano, yaliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma Aprili 22, 2024. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameongoza Watanzania katika maombi na dua hiyo.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *