Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akiwasili katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo Aprili 19, 2024 kwa ajili ya ufunguzi wa Maonesho ya Biashara Miaka 60 ya Muungano. Anayempokea ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis.  

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akisikiliza maelezo kutoka kwa Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme kuhusu majukumu yanayotekelezwa na Ofisi hiyo alipotembelea banda la Ofisi ya Makamu wa Rais wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Biashara Miaka 60 ya Muungano katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo Aprili 19, 2024.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akisikiliza maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Muungano Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Hanifa Selengu wakati Makamu wa Pili wa Rais alipotembelea banda la Ofisi ya Makamu wa Rais wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Biashara Miaka 60 ya Muungano katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo Aprili 19, 2024.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akisikiliza maelezo kutoka kwa Ofisa wa Uhamiaji alipotembelea banda la taasisi hiyo ya Muungano wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Biashara Miaka 60 ya Muungano katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo Aprili 19, 2024.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *