Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda wakati alipowasili mkoani Arusha kwaajili ya kushiriki Ibada Maalum ya kumbukizi ya Miaka 40 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Edward Moringe Sokoine itakayofanyika kesho tarehe 12 Aprili 2024 Monduli.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *