Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewasili katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma ambapo anawaongoza Watanzania katika Dua na Maombi ya kuliombea Taifa ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano leo tarehe 22 Aprili, 2024.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *