Katibu Mkuu Luhemeja ashiriki Maombi ya kuliombea Taifa
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja akishiriki katika dua na maombi ya kuliombea Taifa kuelekea Miaka 60 ya Muungano, yaliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma…