Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassaj Mitawi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais kwenye banda la maonesho katika Viwanja vya Maonesho ya Biashara Nyamazi,Mkoa wa Magharibi-Zanzibar, leo Aprili 14,2024.

Bw. Abdallah Hemed Lungo, Afisa Mazingira Mwandamizi akitoa elimu kuhusu Biashara ya Kaboni pamoja na Umuhimu wa matumizi ya Nishati safi ya kupikia kwa wananchi waliotembelea Banda la Ofisi ya Makamu wa Rais lililopo katika Viwanja vya Maonesho ya Biashara Nyamanzi Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar leo Aprili 14, 2024.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *