Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja amekutana na kufanya kikao kazi na watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais pamoja na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) jijini Dodoma leo tarehe 03 Mei, 2024. Aliyekaa kushoto ni Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Bw. Abdallah Hassan Mitawi na Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Bi. Christina Mndeme.

Watumishi Ofisi ya Makamu wa Rais pamoja na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) wakifuatilia kikao kazi cha Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja jijini Dodoma leo tarehe 03 Mei, 2024.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *