Tanzania yashiriki Mkutano wa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, Uingereza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilakiwa na ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe.…
Jafo:Tanzania imejidhatiti katika kujenga uchumi wa kijani
Washiriki wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Selemani Jafo wakati akihutubia Mkutano wa Uzinduzi wa ‘Middle East Green Initiatives’ uliofanyika mjini Riyadh nchini…
Halmashauri zatakiwa kuzibana kumbi za starehe zinazopiga kelele maeneo ya makazi
Sehemu ya wananchi wakimskiliza Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Hamad Chande wakati wa ziara ya Mawaziri 8 wa wizara za kisekta kuhusu mgogoro wa matumizi…
Kamati ya Bunge yakagua athari za matumizi ya Zebaki kwa wachimbaji wadogo Kahama
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira wakiangalia mtambo unaotumika katika uchimbaji wa wakati wa ziara ya kutembelea na kukagua wachimbaji wadogo wa dhahabu Mwime…
Sh. bilioni 18.8 kujenga jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais jijini Dodoma
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga akizungumza wakati wa Hafla ya kusaini Mkataba wa ujenzi wa jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais Awamu ya pili,…
Waziri Jafo atoa Msimamo wa Tanzania kuelekea Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Selemani Jafo akitoa Tamko la Serikali kuhusu msimamo wa Tanzania kwenye majadiliano ya Mkutano wa 26 wa Nchi…
Dkt. Hussein Mwinyi afurahishwa na kasi ya utatuzi wa changamoto za Muungano
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi akizungumza wakati wa kikao na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Selemani…
Naibu Waziri Chande: Kelele na mitetemo ni changamoto zinazohatarisha mazingira
Mgeni Rasmi ambaye ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Hamad Hassan Chande akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wadau wanaomiliki kumbi za…
Dkt. Komba: Nyenzo kubwa ya kupunguza matumizi ya Zebaki kwa wachimbaji wadogo ni kutoa elimu
Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Andrew Komba akifungua warsha ya kukuza uelewa kwa waandishi wa habari kuhusu utekelezaji wa Mpango kazi wa kupunguza matumizi ya Zebaki…
Ofisi ya Makamu wa Rais yawanoa wanahabari kuhusu Mpango kazi wa kupunguza matumizi ya Zebaki kwa wachimbaji wadogo wa dhahabu
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Kemilembe Mutasa akizungumza wakati wa warsha ya uelimishaji kwa waandishi wa habari kuhusu mkataba wa minamata na mpango-kazi wa…