Waziri Jafo atoa siku 45 kuteketeza shehena ya kontena za mifuko ya plastiki
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Selemani Jafo akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Bw. Erick Hamis kukagua…
Waziri Jafo ahimiza kila mwananchi aendelee kulinda mazingira kwa mustakabali wa nchi yetu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Selemani Jafo akishiriki katika zoezi la upandaji miti kweye hadhara ya maadhimisho ya Jumuiya ya Ismaili iliyofanyika Jijini…
Naibu Waziri Chande atembelea dampo la kisasa la Manispaa ya Moshi
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Hamad Hassan Chande (wa pili kushoto) akizungumza wakati wa ziara yake katika dampo la kisasa la Manispaa ya Moshi…
Serikali yaelekeza wataalamu wa mazingira kufanya tathmini magugu maji Ziwa Jipe
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Hamad Hassan Chande akiwasili na viongozi wengine katika Ziwa Jipe wilayani Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro Septemba 20, 2021. Kukagua…
Jafo atoa rai kwa wananchi Kongwa kushikiriki agenda ya mazingira
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo akizungumza na wakazi wa Kongwa kuhusu agenda ya mazingira mara baada ya kufanya ziara ya kikazi…
Naibu Waziri Chande ataka Maafisa mazingira washirikishwe katika utoaji wa vibali
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Hamad Hassan Chande akisalimiana na Afisa Uhusiano wa kiwanda cha sukari cha Manyara wilayani Babati, Bw. John Geu alipowasili…
Jafo: Asilimia 98 ya uzalishaji wa kemikali hatarishi kwa Tabaka la Ozoni yapunguzwa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutoa Tamko la Serikali katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa…
Waziri Jafo akagua utekelezaji wa muongozo wa usafishaji mito Dar
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Selemani Jafo akiwa na Kikosi kazi cha kusimamia Muongozo wa usafishaji mito Mkoa wa Dar es Salaam kwenye…
Serikali yaweka matumbawe katika mwambao wa pwani
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Hamad Hassan Chande amesema Serikali imeanza kuweka matumbawe bandia katika maeneo ya mwambao wa Dar es Salaam, Unguja na…
Jafo aridhishwa uzingatiji wa maelekezo yake dampo la Chidaya, mabwawa ya majitaka DUWASA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Selemani Jafo (wa tatu kulia) akisikiliza maelezo kuhusu mradi wa mabwawa ya majitaka unaohudumia Chuo Kikuu UDOM na…